Remove unused message 'loginproblem'
[lhc/web/wiklou.git] / languages / messages / MessagesSw.php
1 <?php
2 /** Swahili (Kiswahili)
3 *
4 * @ingroup Language
5 * @file
6 *
7 * @author Malangali
8 * @author Marcos
9 * @author Muddyb Blast Producer
10 * @author Robert Ullmann
11 * @author לערי ריינהארט
12 */
13
14 $messages = array(
15 # User preference toggles
16 'tog-hideminor' => 'Ficha mabadilisho madogo ya hivi karibuni',
17 'tog-rememberpassword' => 'Kumbuka kuingia kwangu katika kompyuta',
18 'tog-editwidth' => 'Hariri sanduku lenye upana mzima',
19 'tog-watchcreations' => 'Weka kurasa nilizoumba katika maangalizi yangu',
20 'tog-watchdefault' => 'Weka kurasa zote nilizohariri katika maangalizi yangu',
21 'tog-watchmoves' => 'Weka kurasa zote nilizohamisha katika maangalizi yangu',
22 'tog-watchdeletion' => 'Weka kurasa zote nilizofuta katika maangalizi yangu',
23 'tog-minordefault' => 'Weka alama mabadiliko madogo kama matumizi mbadala',
24 'tog-previewontop' => 'Onyesha mandhari kabla ya sanduku la kuhariria',
25 'tog-previewonfirst' => 'Onyesha mandhari mwanzoni mwa sanduku la kuhariria',
26 'tog-nocache' => 'Lemaza mabaki ya kurasa',
27 'tog-enotifwatchlistpages' => 'Nitumie barua pepe pale kurasa zilizopo katika maangalizi zikibadilishwa',
28 'tog-enotifusertalkpages' => 'Nitumie barua pepe pale ukurasa wangu wa majadiliano ukiwa na mabadiliko',
29 'tog-enotifminoredits' => 'Pia nitumie barua pale kurasa za mabadiliko madogo zikiwa zimebadilishwa',
30 'tog-ccmeonemails' => 'Nitumie nakala ya barua pepe nitakazo tuma kwa watumiaji wengine',
31
32 # Dates
33 'sunday' => 'Jumapili',
34 'monday' => 'Jumatatu',
35 'tuesday' => 'Jumanne',
36 'wednesday' => 'Jumatano',
37 'thursday' => 'Alhamisi',
38 'friday' => 'Ijumaa',
39 'saturday' => 'Jumamosi',
40 'sun' => 'Jpili',
41 'mon' => 'Jtatu',
42 'tue' => 'Jnne',
43 'wed' => 'Jtano',
44 'thu' => 'Alham',
45 'fri' => 'Iju',
46 'sat' => 'Jmosi',
47 'january' => 'Januari',
48 'february' => 'Februari',
49 'march' => 'Machi',
50 'april' => 'Aprili',
51 'may_long' => 'Mei',
52 'june' => 'Juni',
53 'july' => 'Julai',
54 'august' => 'Agosti',
55 'september' => 'Septemba',
56 'october' => 'Oktoba',
57 'november' => 'Novemba',
58 'december' => 'Desemba',
59 'january-gen' => 'Januari',
60 'february-gen' => 'Februari',
61 'march-gen' => 'Machi',
62 'april-gen' => 'Aprili',
63 'may-gen' => 'Mei',
64 'june-gen' => 'Juni',
65 'july-gen' => 'Julai',
66 'august-gen' => 'Agosti',
67 'september-gen' => 'Septemba',
68 'october-gen' => 'Oktoba',
69 'november-gen' => 'Novemba',
70 'december-gen' => 'Desemba',
71 'jan' => 'Jan',
72 'feb' => 'Feb',
73 'mar' => 'Machi',
74 'apr' => 'Apr',
75 'may' => 'Mei',
76 'jun' => 'Juni',
77 'jul' => 'Julai',
78 'aug' => 'Ago',
79 'sep' => 'Sep',
80 'oct' => 'Okt',
81 'nov' => 'Nov',
82 'dec' => 'Des',
83
84 # Categories related messages
85 'category_header' => 'Makala katika jamii "$1"',
86 'subcategories' => 'Vijamii',
87 'category-media-header' => 'Picha, video, na sauti katika jamii "$1"',
88 'category-empty' => "''Jamii hii haina ukurasa, picha, video, wala sauti yoyote.''",
89 'listingcontinuesabbrev' => 'endelea',
90
91 'about' => 'Kuhusu',
92 'article' => 'Makala',
93 'newwindow' => '(Itafungua kwa dirisha jipya)',
94 'cancel' => 'Batilisha',
95 'qbfind' => 'Gundua',
96 'qbedit' => 'Hariri',
97 'qbspecialpages' => 'Kurasa za pekee',
98 'mytalk' => 'Majadiliano yangu',
99 'navigation' => 'Safari',
100
101 'errorpagetitle' => 'Hitilafu',
102 'returnto' => 'Rudia $1.',
103 'tagline' => 'Kutoka {{SITENAME}}',
104 'help' => 'Msaada',
105 'search' => 'Tafuta',
106 'searchbutton' => 'Tafuta',
107 'go' => 'Nenda',
108 'searcharticle' => 'Nenda',
109 'history' => 'Historia ya ukurasa',
110 'history_short' => 'Historia',
111 'printableversion' => 'Ukarasa kwa kuchapa',
112 'permalink' => 'Kiungo cha daima',
113 'edit' => 'Hariri',
114 'create' => 'Anzisha kurasa',
115 'editthispage' => 'Hariri ukurasa huu',
116 'delete' => 'Futa',
117 'deletethispage' => 'Futa ukurasa huo',
118 'protect' => 'Linda',
119 'unprotect' => 'Usilinde',
120 'unprotectthispage' => 'Ondoa tunzo la ukarasa',
121 'newpage' => 'Ukurasa mpya',
122 'talkpage' => 'Jadilia ukarasa huu',
123 'talkpagelinktext' => 'Majadiliano',
124 'specialpage' => 'Ukarasa maalumu',
125 'personaltools' => 'Vifaa binafsi',
126 'talk' => 'Majadiliano',
127 'views' => 'Mitazamo',
128 'toolbox' => 'Vifaa',
129 'userpage' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
130 'otherlanguages' => 'Lugha nyingine',
131 'redirectedfrom' => '(Elekezwa kutoka $1)',
132 'redirectpagesub' => 'Elekeza ukurasa',
133 'lastmodifiedat' => 'Ukarasa huu umebadilisha mara iliyopita tarehe $1, saa $2.', # $1 date, $2 time
134 'protectedpage' => 'Kurasa iliyolindwa',
135 'jumpto' => 'Rukia:',
136 'jumptonavigation' => 'urambazaji',
137 'jumptosearch' => 'tafuta',
138
139 # All link text and link target definitions of links into project namespace that get used by other message strings, with the exception of user group pages (see grouppage) and the disambiguation template definition (see disambiguations).
140 'aboutsite' => 'Kuhusu {{SITENAME}}',
141 'aboutpage' => 'Project:Kuhusu',
142 'bugreports' => 'Simulia tatizo',
143 'bugreportspage' => 'Project:Taarifa za hitilafu',
144 'copyright' => 'Yaliyomo yafuata $1.',
145 'copyrightpage' => '{{ns:project}}:Hatimiliki',
146 'currentevents' => 'Matukio ya hivi karibuni',
147 'currentevents-url' => 'Project:Matukio ya hivi karibuni',
148 'disclaimers' => 'Kanusho',
149 'disclaimerpage' => 'Project:Kanusho kwa jumla',
150 'edithelp' => 'Usaidizi kwa uhariri',
151 'edithelppage' => 'Help:Usaidizi kwa uhariri',
152 'faq' => 'Maswali ya kawaida',
153 'helppage' => 'Help:Yaliyomo',
154 'mainpage' => 'Mwanzo',
155 'mainpage-description' => 'Mwanzo',
156 'portal' => 'Jumuia',
157 'portal-url' => 'Project:Jumuia',
158 'privacy' => 'Sera ya faragha',
159 'privacypage' => 'Project:Sera ya faragha',
160
161 'badaccess' => 'Kuna hitilafu ya ruhusa',
162
163 'retrievedfrom' => 'Rudishwa kutoka "$1"',
164 'youhavenewmessages' => 'Una $1 ($2).',
165 'newmessageslink' => 'ujumbe mpya',
166 'newmessagesdifflink' => 'badiliko la mwisho',
167 'editsection' => 'hariri',
168 'editold' => 'hariri',
169 'editsectionhint' => 'Hariri kipande: $1',
170 'toc' => 'Yaliyomo',
171 'showtoc' => 'fichua',
172 'hidetoc' => 'ficha',
173 'site-rss-feed' => '$1 tawanyiko la RSS',
174 'site-atom-feed' => '$1 tawanyiko la Atom',
175 'page-rss-feed' => '"$1" tawanyiko la RSS',
176 'red-link-title' => '$1 (bado haujaandikwa)',
177
178 # Short words for each namespace, by default used in the namespace tab in monobook
179 'nstab-main' => 'Makala',
180 'nstab-user' => 'Ukurasa wa mtumiaji',
181 'nstab-project' => 'Ukurasa wa mradi',
182 'nstab-image' => 'Faili',
183 'nstab-template' => 'Kigezo',
184 'nstab-help' => 'Msaada',
185 'nstab-category' => 'Jamii',
186
187 # General errors
188 'error' => 'Kosa',
189 'badtitle' => 'Jina halifai',
190 'badtitletext' => 'Jina la ukurasa ulilotaka ni batilifu, tupu, au limeungwa vibaya na jina la lugha nyingine au Wiki nyingine. Labda linazo herufi moja a zaidi ambazo hazitumiki katika majina.',
191 'viewsource' => 'Tazama chanzo',
192 'viewsourcefor' => 'kwa $1',
193 'viewsourcetext' => 'Unaweza kutazama na kuiga chanzo cha ukurasa huu:',
194
195 # Login and logout pages
196 'loginpagetitle' => 'Kuingia kwa watumiaji',
197 'yourname' => 'Jina la mtumiaji:',
198 'yourpassword' => 'Nywila',
199 'yourpasswordagain' => 'Andika tena neno la siri',
200 'remembermypassword' => 'Nikumbuke katika tarakilishi hii',
201 'login' => 'Ingia',
202 'nav-login-createaccount' => 'Ingia/ sajili akaunti',
203 'loginprompt' => 'Lazima kompyuta yako ipokee kuki ili uweze kuingia kwenye {{SITENAME}}.',
204 'userlogin' => 'Ingia/ sajili akaunti',
205 'logout' => 'Toka',
206 'userlogout' => 'Toka',
207 'notloggedin' => 'Hujajiandikisha',
208 'nologin' => 'Huna akaunti ya kuingilia? $1',
209 'nologinlink' => 'Sajili akaunti',
210 'createaccount' => 'Sajili akaunti',
211 'gotaccount' => 'Unayo akaunti tayari? $1',
212 'gotaccountlink' => 'Ingia',
213 'badretype' => 'Maneno uliyoyaandika ni tofauti.',
214 'youremail' => 'Barua pepe yako:',
215 'yourrealname' => 'Jina lako halisi:',
216 'prefs-help-realname' => 'Jina la kweli si lazima. Ukichagua kutaja jina lako hapa, litatumiwa kuonyesha kwamba ndiyo ulifanya kazi unayochangia.',
217 'loginerror' => 'Kosa la kuingia',
218 'nocookiesnew' => "Umesajiliwa, lakini bado hujaingizwa. {{SITENAME}} inatumia ''kuki'' ili watumiaji waingizwe. Kompyuta yako inazuia ''kuki''. Tafadhali, ondoa kizuizi hicho uingie kwa kutumia jina mpya na neno la siri.",
219 'nocookieslogin' => '{{SITENAME}} inatumia kuki ili watumiaji waweze kuingia.
220 Kompyuta yako inakataa kupokea kuki.
221 Tafadhali, ondoa kizuizi hicho, baadaye jaribu tena.',
222 'loginsuccesstitle' => 'Umefaulu kuingia',
223 'loginsuccess' => "'''Umeingia {{SITENAME}} kama \"\$1\".'''",
224 'nosuchuser' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "$1". Labda umeandika vibaya, au sajili akaunti mpya.',
225 'nosuchusershort' => 'Hakuna mtumiaji mwenye jina "<nowiki>$1</nowiki>". Labda umeandika vibaya.',
226 'nouserspecified' => 'Lazima uandike jina la mtumiaji.',
227 'wrongpassword' => 'Umeingiza nywila ya makosa. Jaribu tena.',
228 'wrongpasswordempty' => 'Nywila ilikuwa tupu. Jaribu tena.',
229 'passwordtooshort' => 'Nywila yako haifai. Ni lazima iwe na herufi $1 au zaidi, na inabidi nywila na jina la mtumiaji ziwe tofauti.',
230 'mailmypassword' => 'Nitume nywila kwa barua pepe',
231 'passwordremindertitle' => 'Nywila mpya ya muda kwa {{SITENAME}}',
232 'passwordremindertext' => 'Mtu mmoja (yamkini wewe, kutoka anwani ya IP $1)
233 ambaye ameulizia nywila mpya kwa {{SITENAME}} ($4).
234 Nywila kwa mtumiaji "$2" sasa ni "$3".
235 Inatakiwa uingie na ubadilishe nywila yako sasa.
236
237 Kama mtu mwingine ametoa ombi hili au kama umekumbuka nywila yako na
238 umeamua kutoibadilisha, unaweza kupuuza ujumbe huu na
239 endelea kutumia nywila yako ya awali.',
240 'noemail' => 'Hatuna anwani ya barua pepe kwa mtumiaji "$1".',
241 'passwordsent' => 'Neno mpya la siri limeshatumia kwenye anwani ya baruapepe ya "$1".
242 Tafadhali, ingia baada ya kulipokea.',
243 'eauthentsent' => 'Tumekutuma barua pepe ili kuhakikisha anwani yako.
244 Kabla ya kutuma barua pepe nyingine kwenye akaunti hiyo, itabidi ufuate maelezo katika barua utakayopokea,
245 kuthibitisha kwamba wewe ndiyo ni mwenye akaunti.',
246
247 # Edit page toolbar
248 'bold_sample' => 'Matini ya koze',
249 'bold_tip' => 'Matini ya koze',
250 'italic_sample' => 'Matini ya italiki',
251 'italic_tip' => 'Matini ya italiki',
252 'link_sample' => 'Jina la kiungo',
253 'link_tip' => 'Kiungo cha ndani',
254 'extlink_sample' => 'http://www.example.com jina la kiungo',
255 'extlink_tip' => 'Kiungo cha nje (kumbuka kuanza na http:// )',
256 'headline_sample' => 'Matini ya kichwa cha habari',
257 'headline_tip' => 'Kichwa cha habari, saizi 2',
258 'math_sample' => 'Ingiza formula hapa',
259 'math_tip' => 'Formula ya kihesabu (LaTeX)',
260 'nowiki_sample' => 'Weka matini bila fomati hapa',
261 'nowiki_tip' => 'Puuza fomati ya Wiki',
262 'image_tip' => 'Picha iliyotiwa',
263 'media_tip' => 'Kiungo cha faili ya picha, video, au sauti',
264 'sig_tip' => 'Sahihi yako na saa ya kusahihisha',
265 'hr_tip' => 'Mstari wa mlalo (usitumie ovyo)',
266
267 # Edit pages
268 'summary' => 'Muhtasari',
269 'subject' => 'Kuhusu/kichwa cha habari',
270 'minoredit' => 'Haya ni mabadiliko madogo',
271 'watchthis' => 'Fuatilia ukurasa huu',
272 'savearticle' => 'Hifadhi ukurasa',
273 'preview' => 'Hakikisha',
274 'showpreview' => 'Onyesha hakikisho la mabadiliko',
275 'showdiff' => 'Onyesha mabadiliko',
276 'anoneditwarning' => "'''Ilani:''' Wewe hujaingia rasmi kwenye tovuti. Anwani ya IP ya tarakilishi yako itahifadhiwa katika historia ya uhariri wa ukurasa huu.",
277 'summary-preview' => 'Hakikisho la muhtasari',
278 'blockedtext' => "<big>'''Jina lako la mtumiaji au anwani yako ya IP imezuiwa.'''</big>
279
280 Umezuiwa na $1. Sababu alitambua ni ''$2''
281
282 * Mwanzo wa uzuio: $8
283 * Mwisho wa uzuio: $6
284 * Aliyezuiwa: $7
285
286 Unaweza kuwasiliana na $1 au [[{{MediaWiki:Grouppage-sysop}}|mkabidhi]] kuzungumza uzuio.
287 Huwezi kutumia kipengele 'kumtuma mtumiaji barua pepe' ila anwani halisi ya barua pepe inapatikana katika
288 [[Special:Preferences|mapendekezo ya akaunti]] yako na hujazuiwa kuitumia.
289 Anwani yako ya IP ni $3, na namba ya uzuio ni #$5. Tafadhali taja namba hizi ukitaka kuwasiliana kuhusu uzuio huu.",
290 'loginreqtitle' => 'Unatakiwa kuingia au kujisajili',
291 'accmailtitle' => 'Neno la siri limeshakutumia.',
292 'accmailtext' => "Neno la siri la '$1' limeshatumwa kwa $2.",
293 'newarticle' => '(Mpya)',
294 'newarticletext' => "Ukurasa unaotaka haujaandikwa bado. Ukipenda unaweza kuuandika wewe mwenyewe kwa kutumia sanduku la hapa chini (tazama [[{{MediaWiki:Helppage}}|Mwongozo]] kwa maelezo zaidi). Ukifika hapa kwa makosa, bofya kibonyezi '''back''' (nyuma) cha programu yako.",
295 'noarticletext' => 'Ukurasa huu haujaandikwa bado. [[Special:Search/{{PAGENAME}}|tafutia jina hili]] katika kurasa nyingine au [{{fullurl:{{FULLPAGENAME}}|action=edit}} hariri ukurasa huu].',
296 'previewnote' => '<strong>Hii ni hakikisho tu; mabadiliko hayajahifadhiwa bado!</strong>',
297 'editing' => 'Kuhariri $1',
298 'editingsection' => 'Unahariri $1 (kipande)',
299 'yourtext' => 'Maandishi yako',
300 'editingold' => '<strong>ANGALIA: Unakuwa unahariri nakala ya zamani ya ukurasa huu.
301 Ukiendelea kuihariri, mabadilisho yote yaliyofanywa tangu pale yatapotezwa.</strong>',
302 'copyrightwarning' => 'Tafadhali zingatia kwamba makala yote ya {{SITENAME}} unayoyaandika yanafuata $2 (tazama $1 kwa maelezo zaidi).
303 Usipotaka maandishi yako yaweze kuharirishwa bure na kutolewa wakati wowote, basi usiyaandike hapa.<br />
304 Unakuwa unaahidi kwamba maandishi unayoyaingia ni yako tu, au uliyapata kutoka bure au ni mali ya watu wote. <strong>USITOLEE MAKALA YALIYOHIFADHIWA HAKI ZAO ZA KUTUMIWA BILA KUPATA RUHUSA HALALI!</strong>',
305 'longpagewarning' => '<strong>ILANI: Urefu wa ukurasa huu ni kilobaiti $1; vivinjari kadhaa vinaweza kuwa na matatizo ukihariri ukurasa wenye urefu zaidi ya kb 32 hivi.
306 Tafadhali fikiria kuhusu kuvunja ukurasa kwa vipande vifupi.</strong>',
307 'protectedpagewarning' => '<strong>ANGALIA: Ukurasa huu unakingwa kwa hiyo watumiaji wenye haki za wasimamizi tu wanaweza kuuhariri. Hakikisha kwamba unakuwa unafuata mwongozo wa kuhariri kurasa zinazokingwa.<strong>',
308 'templatesused' => 'Vigezo vinavyotumiwa kwenye ukurasa huu:',
309 'templatesusedpreview' => 'Vigezo vinavyotumiwa katika mandhari haya:',
310 'template-protected' => '(kulindwa)',
311 'template-semiprotected' => '(ulindaji kwa kiasi)',
312 'nocreatetext' => '{{SITENAME}} imebana uwezekano kutengeneza kurasa mpya. Unaweza kurudia na kuhariri kurasa zilizomo, au [[Special:UserLogin|ingia au anza akaunti]].',
313 'recreate-deleted-warn' => "'''Ilani: Unatengeneza tena ukurasa uliofutwa tayari.'''
314
315 Fikiria kama inafaa kuendelea kuhariri ukurasa huu.
316 Kumbukumbu ya kufuta ukurasa huu linapatikana hapa kukusaidia:",
317
318 # History pages
319 'viewpagelogs' => 'Tazama kumbukumbu kwa ukurasa huu',
320 'currentrev' => 'Kiungo cha daima',
321 'revisionasof' => 'Sahihisho kutoka $1',
322 'revision-info' => 'Sahihisho kutoka $1 na $2',
323 'previousrevision' => '←Sahihisho lililotangulia',
324 'nextrevision' => 'Sahihisho mpya zaidi?',
325 'currentrevisionlink' => 'Sahahisho ya sasa hivi',
326 'cur' => 'sasa',
327 'last' => 'kabla',
328 'page_first' => 'ya kwanza',
329 'page_last' => 'ya mwisho',
330 'histlegend' => 'Chagua tofauti: tia alama katika vitufe redio kulinganisha matoleo, na bonyeza "enter" au kitufe hapo chini.<br />
331 Ufunguo: (sasa) = tofauti na toleo la sasa, (kabla) = tofauti na toleo lililotangulia, D = mabadiliko maDogo.',
332 'histfirst' => 'Mwanzoni',
333 'histlast' => 'Mwishoni',
334
335 # Revision feed
336 'history-feed-item-nocomment' => '$1 kwenye $2', # user at time
337
338 # Diffs
339 'history-title' => 'Historia ya masahihisho ya "$1"',
340 'difference' => '(Tofauti baina ya masahihisho)',
341 'lineno' => 'Mstari $1:',
342 'compareselectedversions' => 'Linganisha matoleo mawili uliyochagua',
343 'editundo' => 'tengua',
344 'diff-multi' => '(Hatuonyeshi {{PLURAL:$1|sahihisho moja la katikati|masahihisho $1 ya katikati}}.)',
345
346 # Search results
347 'noexactmatch' => "'''Hakuna ukurasa wenye jina \"\$1\".''' Unaweza [[:\$1|kuanza ukurasa huu]].",
348 'prevn' => '$1 iliyotangulia',
349 'nextn' => '$1 ijayo',
350 'viewprevnext' => 'Tazama ($1) ($2) ($3)',
351 'powersearch' => 'Tafuta',
352
353 # Preferences page
354 'preferences' => 'Mapendekezo',
355 'mypreferences' => 'Mapendekezo yangu',
356 'changepassword' => 'Badilisha neno la siri',
357 'skin' => 'Sura',
358 'oldpassword' => 'Neno la siri la zamani',
359 'newpassword' => 'Neno mpya la siri',
360 'retypenew' => 'Andika nywila tena:',
361
362 'grouppage-sysop' => '{{ns:project}}:Wakabidhi',
363
364 # User rights log
365 'rightslog' => 'Kumbukumbu ya vyeo vya watumiaji',
366
367 # Recent changes
368 'nchanges' => '{{PLURAL:$1|badiliko|mabadiliko}} $1',
369 'recentchanges' => 'Mabadiliko ya karibuni',
370 'recentchanges-feed-description' => 'Tumia tawanyiko hili kufuatilia mabadiliko yote ya hivi karibuni katika Wiki.',
371 'rcnote' => "Yanayofuata {{PLURAL:$1|ni badiliko '''1'''|ni mabadiliko '''$1''' ya mwisho}} kutoka katika {{PLURAL:$2|siku iliyopita|siku '''$2''' zilizopita}}, hadi $3.",
372 'rcnotefrom' => "Hapo chini yaonekana mabadiliko tangu '''$2''' (tunaonyesha hadi '''$1''').",
373 'rclistfrom' => 'Onyesha mabadiliko mapya kuanzia $1',
374 'rcshowhideminor' => '$1 mabadiliko madogo',
375 'rcshowhidebots' => '$1 roboti',
376 'rcshowhideliu' => '$1 watumiaji sasa',
377 'rcshowhideanons' => '$1 watumiaji bila majina',
378 'rcshowhidepatr' => '$1 masahihisho yanayofanywa doria',
379 'rcshowhidemine' => '$1 masahihisho zangu',
380 'rclinks' => 'Onyesha mabadiliko $1 yaliyofanywa wakati wa siku $2 zilizopita<br />$3',
381 'diff' => 'tofauti',
382 'hist' => 'hist',
383 'hide' => 'Ficha',
384 'show' => 'Onyesha',
385 'minoreditletter' => 'd',
386 'newpageletter' => 'P',
387 'boteditletter' => 'r',
388
389 # Recent changes linked
390 'recentchangeslinked' => 'Mabadiliko husika',
391 'recentchangeslinked-title' => 'Mabadiliko kuhusiana na "$1"',
392 'recentchangeslinked-noresult' => 'Hakuna mabadiliko kwenye kurasa zilizounganishwa wakati wa muda huo.',
393 'recentchangeslinked-summary' => "Ukurasa maalum huu unaorodhesha mabadiliko ya mwisho katika kurasa zinazoungwa. Kurasa katika maangalizi yako ni za '''koze'''.",
394
395 # Upload
396 'upload' => 'Pakia faili',
397 'uploadbtn' => 'Pakia faili',
398 'uploadlogpage' => 'Kumbukumbu ya upakiaji',
399 'filedesc' => 'Muhtasari',
400 'ignorewarning' => 'Hifadhi bila kujali maonyo yoyote.',
401 'uploadedimage' => ' "[[$1]]" imepakiwa',
402
403 # Special:ImageList
404 'imagelist' => 'Orodha ya mafaili',
405
406 # Image description page
407 'filehist' => 'Historia ya faili',
408 'filehist-help' => 'Bonyeza tarehe/saa kuona faili kama ilivyoonekana wakati huo.',
409 'filehist-current' => 'sasa hivi',
410 'filehist-datetime' => 'Tarehe/Saa',
411 'filehist-user' => 'Mtumiaji',
412 'filehist-dimensions' => 'Vipimo',
413 'filehist-filesize' => 'Ukubwa wa faili',
414 'filehist-comment' => 'Maoni',
415 'imagelinks' => 'Viungo',
416 'linkstoimage' => 'Kurasa hizi zimeunganishwa na faili hili:',
417 'nolinkstoimage' => 'Hakuna kurasa zozote zilizounganishwa na faili hii.',
418 'sharedupload' => 'Faili hii inaweza kushirikiwa na miradi mingine.',
419 'noimage' => 'Hakuna faili yenye jina hili, $1 kama unayo.',
420 'noimage-linktext' => 'pakia picha',
421 'uploadnewversion-linktext' => 'Pakia toleo jipya la faili hii',
422
423 # MIME search
424 'mimesearch' => 'Utafutaji wa MIME',
425
426 # List redirects
427 'listredirects' => 'Maelekezo',
428
429 # Unused templates
430 'unusedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havitumiwi',
431
432 # Random page
433 'randompage' => 'Ukurasa wa bahati',
434
435 # Random redirect
436 'randomredirect' => 'Elekezo la bahati',
437
438 # Statistics
439 'statistics' => 'Takwimu',
440 'statistics-header-users' => 'Takwimu za watumiaji',
441
442 'disambiguations' => 'Kurasa za kuainisha maneno',
443
444 'doubleredirects' => 'Maelekezo mawilimawili',
445
446 'brokenredirects' => 'Maelekezo yenye hitilafu',
447
448 'withoutinterwiki' => 'Kurasa bila viungo kwenye lugha nyingine',
449
450 'fewestrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho machache kuliko zote',
451
452 # Miscellaneous special pages
453 'nbytes' => '{{PLURAL:$1|baiti|baiti}} $1',
454 'nlinks' => '{{PLURAL:$1|kiungo|viungo}} $1',
455 'nmembers' => '{{PLURAL:$1|mtumiaji|watumiaji}} $1',
456 'lonelypages' => 'Kurasa ambazo haziungwi kutoka ukurasa mwingine wowote',
457 'uncategorizedpages' => 'Kurasa ambazo hazijawekwa katika jamii',
458 'uncategorizedcategories' => 'Jamii ambazo hazijawekwa katika jamii',
459 'uncategorizedimages' => 'Picha ambazo hazijawekwa katika jamii',
460 'uncategorizedtemplates' => 'Vigezo ambavyo havijawekwa katika jamii',
461 'unusedcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
462 'unusedimages' => 'Mafaili ambayo hayatumiwi',
463 'wantedcategories' => 'Jamii zinazotakiwa',
464 'wantedpages' => 'Kurasa zinazotakiwa',
465 'mostlinked' => 'Kurasa zinazoungwa kuliko zote',
466 'mostlinkedcategories' => 'Jamii zinazoungwa kuliko zote',
467 'mostlinkedtemplates' => 'Vigezo vinavyoungwa kuliko zote',
468 'mostcategories' => 'Jamii ambazo hazitumiwi',
469 'mostimages' => 'Picha zinazoungwa kuliko zote',
470 'mostrevisions' => 'Kurasa zenye masahihisho mengi kuliko zote',
471 'prefixindex' => 'Kielezo cha viambishi awali',
472 'shortpages' => 'Kurasa fupi',
473 'longpages' => 'Kurasa ndefu',
474 'deadendpages' => 'Kurasa ambazo haziungi na ukurasa mwingine wowote',
475 'protectedpages' => 'Kurasa zinazolindwa',
476 'listusers' => 'Orodha ya Watumiaji',
477 'newpages' => 'Kurasa mpya',
478 'ancientpages' => 'Kurasa za kale',
479 'move' => 'Sogeza',
480 'movethispage' => 'Sogeza ukurasa huu',
481
482 # Book sources
483 'booksources' => 'Vyanzo vya vitabu',
484
485 # Special:Log
486 'specialloguserlabel' => 'Mtumiaji:',
487 'speciallogtitlelabel' => 'Kichwa:',
488 'log' => 'Kumbukumbu',
489 'all-logs-page' => 'Kumbukumbu zote',
490
491 # Special:AllPages
492 'allpages' => 'Kurasa zote',
493 'alphaindexline' => '$1 hadi $2',
494 'nextpage' => 'Ukurasa ujao ($1)',
495 'prevpage' => 'Ukurasa uliotangulia ($1)',
496 'allpagesfrom' => 'Onyesha kurasa zinazoanza kutoka:',
497 'allarticles' => 'Kurasa zote',
498 'allpagessubmit' => 'Nenda',
499 'allpagesprefix' => 'Onyesha kurasa zenye kiambishi awali:',
500
501 # Special:Categories
502 'categories' => 'Jamii',
503
504 # E-mail user
505 'emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
506
507 # Watchlist
508 'watchlist' => 'Maangalizi yangu',
509 'mywatchlist' => 'Maangalizi yangu',
510 'watchlistfor' => "(kwa '''$1''')",
511 'addedwatch' => 'Imeongezwa kwenye maangalizi yako',
512 'addedwatchtext' => "Ukurasa \"[[:\$1]]\" umewekwa kwenye [[Special:Watchlist|maangalizi]] yako.
513 Mabadiliko katika ukurasa huo na ukurasa wake wa majadiliano utaonekana hapo,
514 na ukurasa utaonyeshwa wenye '''koze''' kwenye [[Special:RecentChanges|orodha ya mabadiliko ya karibuni]]
515 ili kukusaidia kutambua.
516
517 Ukitaka kufuta ukurasa huo kutoka maangalizi yako baadaye, bonyeza \"Acha kufuatilia\" katika mwamba pembeni.",
518 'removedwatch' => 'Imefutwa kutoka maangalizi yako',
519 'removedwatchtext' => 'Ukurasa "[[:$1]]" umefutwa kutoka maangalizi yako.',
520 'watch' => 'Fuatilia',
521 'watchthispage' => 'Fuatilia ukurasa huu',
522 'unwatch' => 'Acha kufuatilia',
523 'watchlist-details' => 'Unafuatilia {{PLURAL:$1|ukurasa $1|kurasa $1}} bila kuzingatia kurasa za majadiliano',
524 'wlshowlast' => 'Onyesha kutoka masaa $1 siku $2 $3',
525 'watchlist-hide-bots' => 'Ficha masahihisho ya roboti',
526 'watchlist-hide-own' => 'Ficha hariri zangu',
527 'watchlist-hide-minor' => 'Ficha mabadiliko madogo',
528
529 # Displayed when you click the "watch" button and it is in the process of watching
530 'watching' => 'Unafuatilia...',
531 'unwatching' => 'Umeacha kufuatilia...',
532
533 # Delete
534 'deletepage' => 'Futa ukurasa',
535 'historywarning' => 'Ilani: Ukurasa unaotaka kufuta una historia yake:',
536 'confirmdeletetext' => 'Wewe unategemea kufuta ukurasa pamoja na historia yake yote.
537 Tafadhali hakikisha kwamba unalenga kufanya hivyo, na kwamba unaelewa matokeo yake, na kwamba unafuata [[{{MediaWiki:Policy-url}}|sera]].',
538 'actioncomplete' => 'Kitendo kimekwisha',
539 'deletedtext' => '"<nowiki>$1</nowiki>" imefutwa. Ona $2 kwa historia ya kurasa zilizofutwa hivi karibuni.',
540 'deletedarticle' => '"[[$1]]" ilifutwa',
541 'dellogpage' => 'Kumbukumbu ya ufutaji',
542 'deletecomment' => 'Sababu ya kufuta',
543 'deleteotherreason' => 'Sababu nyingine:',
544 'deletereasonotherlist' => 'Sababu nyingine',
545
546 # Rollback
547 'rollbacklink' => 'rejesha',
548
549 # Protect
550 'protectlogpage' => 'Kumbukumbu ya ulindaji',
551 'prot_1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
552 'protect-legend' => 'Hakikisha ukingo',
553 'protectcomment' => 'Maoni:',
554 'protectexpiry' => 'Itakwisha:',
555 'protect_expiry_invalid' => 'Muda wa kwisha ni batilifu.',
556 'protect_expiry_old' => 'Muda wa kuishi umepita tayari.',
557 'protect-unchain' => 'Fungua ruhusa za kusogeza',
558 'protect-text' => 'Unaweza kutazama na kubadilisha kiwango cha ulindaji hapa kwa ukurasa <strong><nowiki>$1</nowiki></strong>.',
559 'protect-locked-access' => 'Akaunti yako hairuhusiwi kubadilisha viwango vya ulindaji.
560 Hivi ni vipimo kwa ukurasa <strong>$1</strong>:',
561 'protect-cascadeon' => 'Ukurasa huu umelindwa kwa sababu umezingatiwa katika {{PLURAL:$1|ukurasa $1 unaolinda kurasa chini yake|kurasa $1 zinazolinda kurasa chini yake}}. Unaweza kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, lakini hutaathirika ulindaji kutoka kurasa juu yake.',
562 'protect-default' => '(chaguo-msingi)',
563 'protect-fallback' => 'Lazimisha ruhusa "$1"',
564 'protect-level-autoconfirmed' => 'Zuia watumiaji ambao hawajajisajilisha',
565 'protect-level-sysop' => 'Wakabidhi tu',
566 'protect-summary-cascade' => 'ulindaji kwa kurasa chini yake',
567 'protect-expiring' => 'itakwisha $1 (UTC)',
568 'protect-cascade' => 'Linda kurasa zinazozingatiwa chini ya ukurasa huu',
569 'protect-cantedit' => 'Huwezi kubadilisha kiwango cha ulindaji wa ukurasa huu, kwa sababu huruhusiwi kuuhariri.',
570 'protect-expiry-options' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
571 'restriction-type' => 'Ruhusa:',
572 'restriction-level' => 'Kiwango cha kizuio:',
573
574 # Undelete
575 'undeletebtn' => 'Rudisha',
576
577 # Namespace form on various pages
578 'namespace' => 'Eneo la majina:',
579 'invert' => 'Geuza uteuzi',
580 'blanknamespace' => '(Kuu)',
581
582 # Contributions
583 'contributions' => 'Michango ya watumiaji',
584 'mycontris' => 'Michango yangu',
585 'contribsub2' => 'Kwa $1 ($2)',
586 'uctop' => '(juu)',
587 'month' => 'Kutoka mwezi (na zamani zaidi):',
588 'year' => 'Kutoka mwakani (na zamani zaidi):',
589
590 'sp-contributions-newbies-sub' => 'Kwa akaunti mpya',
591 'sp-contributions-blocklog' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
592
593 # What links here
594 'whatlinkshere' => 'Viungo viungacho ukurasa huu',
595 'whatlinkshere-title' => 'Kurasa zilizounganishwa na $1',
596 'linkshere' => "Kurasa zifuatazo zimeunganishwa na '''[[:$1]]''':",
597 'nolinkshere' => "Hakuna kurasa zilizounganishwa na '''[[:$1]]'''.",
598 'isredirect' => 'elekeza ukurasa',
599 'istemplate' => 'jumuisho',
600 'whatlinkshere-prev' => '{{PLURAL:$1|uliotangulia|$1 zilizotangulia}}',
601 'whatlinkshere-next' => '{{PLURAL:$1|ujao|$1 zijazo}}',
602 'whatlinkshere-links' => '? viungo',
603
604 # Block/unblock
605 'blockip' => 'Zuia mtumiaji',
606 'ipboptions' => 'Masaa 2:2 hours,siku 1:1 day,siku 3:3 days,wiki 1:1 week,wiki 2:2 weeks,mwezi 1:1 month,miezi 3:3 months,miezi 6:6 months,mwaka 1:1 year,milele:infinite', # display1:time1,display2:time2,...
607 'ipblocklist' => 'Orodha ya anwani za IP na majina ya watumiaji kuzuiwa',
608 'blocklink' => 'zuia',
609 'unblocklink' => 'acha kuzuia',
610 'contribslink' => 'michango',
611 'blocklogpage' => 'Kumbukumbu ya uzuio',
612 'blocklogentry' => '[[$1]] imezuiwa mpaka $2 $3',
613
614 # Move page
615 'move-page-legend' => 'Sogeza ukurasa',
616 'movepagetext' => "Tumia fomu hapo chini itabadilisha jina la ukurasa, na itahamisha historia yake yote katika jina jipya lile lile.
617 Jina la awali litahamishwa na kuelekezwa katika mahali pa jina jipya.
618 Viungo vilivyounganishwa na ukurasa wa awali havitabadilishwa;
619 tafadhali tafutia maelekezo yenye hitilafu na maelekezo mawilimawili.
620 Wewe una madaraka kuhakikisha kwamba viungo viendelee kuelekea vinapolengwa.
621
622 Uwe mwangalifu kwamba ukurasa '''hautahamishwa''' kama tayari kuna ukurasa wenye jina jipya, ila ni tupu au ni maelekezo na hauna historia ya kuhaririwa.
623 Yaani unaweza kurudisha ukurasa kwenye jina la awali ukikosa, na haiwezekani kufuta ukurasa mwingine kwa nasibu.
624
625 '''ILANI!'''
626 Kuhamisha ukurasa wenye wasomaji wengi kunaweza kuathirika watumiaji wetu.
627 Tafadhali hakikisha kwamba unaelewa matokeo ya kitendo hiki kabla ya kuendelea.",
628 'movepagetalktext' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake
629 '''ila:'''
630 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
631 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
632
633 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
634 'movearticle' => "Ukurasa wa majadiliano wa ukurasa huu utasogezwa pamoja yake '''ila:'''
635 *tayari kuna ukurasa wa majadiliano (usiyo tupu) kwenye jina jipya, au
636 *ukifuta tiki katika kisanduku hapa chini.
637
638 Kama tayari kuna ukurasa au ukifuta tiki, itabidi usogeze au uunganishe ukurasa kwa mkono ukitaka.",
639 'newtitle' => 'Kuelekeza jina jipya:',
640 'move-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu',
641 'movepagebtn' => 'Sogeza ukurasa',
642 'pagemovedsub' => 'Umefaulu kusogeza ukurasa',
643 'articleexists' => 'Tayari kuna ukurasa wenye jina hilo, au
644 jina ulilochagua ni batilifu.
645 Chagua jina lengine.',
646 'talkexists' => "'''Ukurasa wenyewe ulisogezwa salama, lakini ukurasa wake wa majadiliano haujasogezwa kwa sababu tayari kuna ukurasa wenye jina lake. Tafadhali ziunganishe kwa mkono.'''",
647 'movedto' => 'imesogezwa hadi',
648 'movetalk' => 'Sogeza ukurasa wake wa majadiliano',
649 '1movedto2' => '[[$1]] umesogezwa hapa [[$2]]',
650 'movelogpage' => 'Kumbukumbu ya uhamiaji',
651 'movereason' => 'Sababu:',
652 'revertmove' => 'rejesha',
653
654 # Export
655 'export' => 'Hamisha kurasa',
656
657 # Namespace 8 related
658 'allmessages' => 'Ujumbe za mfumo',
659
660 # Thumbnails
661 'thumbnail-more' => 'Kuza',
662 'thumbnail_error' => 'Hitilafu kutengeneza picha ndogo: $1',
663
664 # Import log
665 'importlogpage' => 'Kumbukumbu ya kuingizwa',
666
667 # Tooltip help for the actions
668 'tooltip-pt-userpage' => 'Ukurasa wangu',
669 'tooltip-pt-mytalk' => 'Majadiliano yangu',
670 'tooltip-pt-preferences' => 'Mapendekezo yangu',
671 'tooltip-pt-watchlist' => 'Orodha ya kurasa unazofuatilia kwa mabadiliko',
672 'tooltip-pt-mycontris' => 'Orodha ya michango yangu',
673 'tooltip-pt-login' => 'Tunakushajisha kuingia, lakini siyo lazima.',
674 'tooltip-pt-logout' => 'Toka',
675 'tooltip-ca-talk' => 'Mazungumzo kuhusu makala',
676 'tooltip-ca-edit' => 'Unaweza kuhariri ukurasa huu. Tafadhali tumia kitufe cha kuhakikisha kabla ya kuhifadhi.',
677 'tooltip-ca-addsection' => 'Weka maoni yako kwenye majadiliano haya.',
678 'tooltip-ca-viewsource' => 'Ukurasa huu umelindwa. Unaweza kutazama chanzo chake.',
679 'tooltip-ca-protect' => 'Linda ukurasa huu',
680 'tooltip-ca-delete' => 'Futa ukurasa huu',
681 'tooltip-ca-move' => 'Sogeza ukurasa huu',
682 'tooltip-ca-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
683 'tooltip-ca-unwatch' => 'Futa ukurasa huu kutoka maangalizi yako',
684 'tooltip-search' => 'Tafuta {{SITENAME}}',
685 'tooltip-n-mainpage' => 'Tembelea Mwanzo',
686 'tooltip-n-portal' => 'Kuhusu mradi, mambo unaweza kufanya, na mahali pa kugundua vitu',
687 'tooltip-n-currentevents' => 'Maarifa kuhusu habari za siku hizi',
688 'tooltip-n-recentchanges' => 'Orodha ya mabadiliko ya hivi karibuni katika Wiki.',
689 'tooltip-n-randompage' => 'Onyesha ukurasa wa bahati',
690 'tooltip-n-help' => 'Mahali pa kueleweshwa.',
691 'tooltip-t-whatlinkshere' => 'Orodha ya kurasa zote za Wiki zilizounganishwa na ukurasa huu',
692 'tooltip-t-contributions' => 'Tazama orodha ya michango kwa mtumiaji huyu',
693 'tooltip-t-emailuser' => 'Mtumie mtumiaji huyu barua pepe',
694 'tooltip-t-upload' => 'Pakia picha, video, au sauti',
695 'tooltip-t-specialpages' => 'Orodha ya kurasa maalum zote',
696 'tooltip-ca-nstab-user' => 'Tazama ukurasa wa mtumiaji',
697 'tooltip-ca-nstab-project' => 'Tazama ukurasa wa mradi',
698 'tooltip-ca-nstab-image' => 'Angalia ukurasa wa picha',
699 'tooltip-ca-nstab-template' => 'Tazama kigezo',
700 'tooltip-ca-nstab-help' => 'Tazama ukurasa wa msaada',
701 'tooltip-ca-nstab-category' => 'Tazama ukurasa wa jamii',
702 'tooltip-minoredit' => 'Tia alama kwamba hii ni badiliko dogo',
703 'tooltip-save' => 'Hifadhi mabadiliko yako',
704 'tooltip-preview' => 'Hakikisha mabadiliko yako, tafadhali fanya kabla ya kuhifadhi!',
705 'tooltip-diff' => 'Onyesha mabadiliko uliyofanya kwenye makala.',
706 'tooltip-compareselectedversions' => 'Tazama tofauti baina ya matoleo mawili uliochagua ya ukurasa huu.',
707 'tooltip-watch' => 'Fuatilia ukurasa huu kwenye maangalizi yako',
708
709 # Attribution
710 'siteuser' => '{{SITENAME}} mtumiaji $1',
711
712 # Browsing diffs
713 'previousdiff' => '←Tofauti kabla',
714 'nextdiff' => 'Tofauti ijayo→',
715
716 # Media information
717 'file-info-size' => '(piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3, aina ya MIME: $4)',
718 'file-nohires' => '<small>Hakuna saizi kubwa zaidi.</small>',
719 'svg-long-desc' => '(faili ya SVG, husemwa kuwa piseli $1 × $2, saizi ya faili: $3)',
720 'show-big-image' => 'Ukubwa wa awali',
721 'show-big-image-thumb' => '<small>Ukubwa wa hakikisho hili: piseli $1 x $2</small>',
722
723 # Special:NewImages
724 'newimages' => 'Mkusanyiko wa faili jipya',
725
726 # Bad image list
727 'bad_image_list' => 'Fomati ni hii:
728
729 Tunazingatia madondoo katika orodha (mistari inayoanza na *) tu. Inabidi kiungo cha kwanza katika mstari kiunge na picha mbaya.
730 Viungo vinavyofuata katika mstari ule ule vitaelewa kuwa mambo ya pekee, yaani kurasa zinazoruhusiwa kuonyesha picha hiyo.',
731
732 # Metadata
733 'metadata' => 'Data juu',
734 'metadata-help' => 'Faili hiil lina maarifa mengine, yamkini kutoka kemra au skana iliyotumiwa kulitengeneza au kuliandaa kwa tarakilishi. Kama faili imebadilishwa kutoka hali yake ya awali, inawezekana kwamba vipengele kadhaa vitakuwa tofauti kuliko hali ya picha sasa.',
735 'metadata-expand' => 'Onyesha maarifa vinaganaga',
736 'metadata-collapse' => 'Ficha maarifa vinaganaga',
737 'metadata-fields' => 'Nyuga za data juu za EXIF zinazoorodheshwa katika ujumbe huu
738 utazingatiwa kwenye ukurasa wa picha wakati jedwali la data juu
739 likifupishwa. Nyuga zingine zitafichwa kama chaguo-msingi.
740 * make
741 * model
742 * datetimeoriginal
743 * exposuretime
744 * fnumber
745 * focallength', # Do not translate list items
746
747 # External editor support
748 'edit-externally' => 'Tumia programu ya nje kuhariri faili hii',
749 'edit-externally-help' => 'Ona [http://www.mediawiki.org/wiki/Manual:External_editors maelezo (kwa Kiingereza)] kwa maarifa mengine.',
750
751 # 'all' in various places, this might be different for inflected languages
752 'watchlistall2' => 'zote',
753 'namespacesall' => 'zote',
754 'monthsall' => 'zote',
755
756 # Watchlist editing tools
757 'watchlisttools-view' => 'Tazama mabadiliko yanayohusiana',
758 'watchlisttools-edit' => 'Tazama na hariri maangalizi',
759 'watchlisttools-raw' => 'Hariri maangalizi ghafi',
760
761 # Special:Version
762 'version' => 'Toleo', # Not used as normal message but as header for the special page itself
763
764 # Special:SpecialPages
765 'specialpages' => 'Kurasa maalum',
766
767 );